JE, UNAFAHAMU NDOTO NI KATI YA SEHEMU 46 ZA UNABII?

ndoto

Wapo watu hupokea taarifa za mambo ya maisha yao ya kila siku kupitia ndoto wanazoziota.

Haya ni mambo muhimu unayotakiwa kuyafahamu na kufanya pale unapokuwa umeota ndoto.

 • Ndoto inafikisha ujumbe mbali mbali kuhusu muotaji.
 • Usipuuze ndoto yako ulioiota.
 • Waulize wajuzi wazuri ndoto yako ili upewe maana sahihi.
 • Ndoto inaeza kujificha yaan usiikumbuke ili usijue maana yake.
 • Jitahidi kabla ya kulala ulale kwa utaratibu mzuri wa kujiandaa kupokea taarifa zako.
 • Usinwelezee adui yako ndoto yako,  akiijua maana yake atakufanyia vitimbi vikubwa.
 • Ndoto zina wakati maalumu ili ujulishwe maana zake.
 • Jitahidi ujue muda maalumu wa ndoto ulioiota.  
 • Usielezee ndoto yako kwa ufupisho kwa kua ndoto ni maelezo kama habari ilivyo.  
 • Zipo njozi za kishetwani zinahitaji upewe tiba usiendelee kuziota.
 • Ndoto za moja kwa moja hazipo kwa kua ni ndoto walioziota mitumi (wahyi)    

Ostadh Nurdini Bin Chande ni mtaalum wa kusoma nyota na kutafsiri ndoto kutoka Unguja Zanzibar, anapatikana kwa mawasiliano : +255 655 79 33 35

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s