IJUE TIBA YA GANZI NA MAFUA

ganzi

Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuhi,  kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kunifikisha kuleta somo hili kwenu ndugu wasomaji, matumaini yangu baada ya somo hili mtakuwa mmenufaiki vya kutosha.

Wazungu husema, “Safety first”, wakimaanisha, “Usalama kwanza”, naamini hakuna mtu yoyote anayependa kupata maradhi, kama tunalifahamu hilo ni vema tukazijua mbinu za kujikinga.

Leo nitakupa njia za kutengeneza dawa ya mtu anayesumbuliwa na ganzi  na mafua  :

  • Unachotakiwa kufanya ni kuchukua maji ya tangawizi mbichi na kupikia uji, kisha utapima uji kikombe kimoja na kuzidisha unga wa Habat Sauda kijiko kidogo, utatumia asali kwenye uji huo baada ya sukari.
  • Kwa wale ambao hawafahamu mahala pakuipata Habbat Sauda, basi wasiwe na shaka maana kwenye maduka yote yanayouza dawa za kisunna au asilia inapatikana kwa bei nafuu kabisa.

Kwa wale wenye mafua : Chukua limao kamua upate glass moja kisha chemsha maji glass moja halafu changanya maji hayo na ile glass ya limao, halafu kunywa kabla haijapoa.

kwa wale watakaohitaji msaada : 0743 53 79 98 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s