YAJUE MASAFA YA REDIO ZA TANZANIA

Tanzania ni nchi huru na yenye amani, inayojali uhuru wa vyombo vya habari, katika kupiga hatua kwa upande wa media, jumla ya vituo vya redio 123 vimekwisha kusajiliwa, huku idadi ya watu ikikadiriwa kufikia takribani milioni 45.

radio-waves

Kama inavyofahamika upataji wa taarifa kwa wakati ni jambo zuri na bora kwa kila raia, nimekuwekea masafa ya redio karibia zote za Tanzania ili ikupe urahisi ndugu msomaji kuweza kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya nchi.

FM,MHz Station / Kituo cha redio Transmitter / Transmita
  87.50 TBC FM Kisarawe
  88.10 East Africa Radio Mikocheni Light Industrial Area
  88.50    Clouds FM Dar es Salaam
  89.30     Kiss FM Dar es Salaam
  89.70     Radio One Makongo
  90.00  TBC FM Kisarawe
  90.50  STZ Sauti ya Tanzania Zanzibar Zanzibar, Masingini
  90.90  Chuhu Fm Zanzibar,  Masingini
  91.70  City FM Radio Dar es Salaam
  92.90   Magic Fm Dar es Salaam
  94.10 BBC Idhaa ya Kiswahili Zanzibar, Masingini
  94.50 Radio Sibuka Dar es Salaam
  95.30 TBC International Kisarawe
  95.70 Uhuru FM Dar es Salaam
  96.10  Passion FM Dar es Salaam
  96.50 Radio Tumaini St. Joseph’s Cathedral
  97.40  STZ Spice FM Zanzibar, Masingini
  98.00 WAPO Radio Dar es Salaam
  98.90  Radio Free Africa Kisarawe
  99.30 Praise Power Radio Mikocheni
  99.70 China Radio Int Zanzibar,  Masingini
100.50 Times FM Dar es Salaam
100.90  Coconut FM  Zanzibar, Masingini
101.30   Capital Radio Kisarawe
102.10  Radio Sauti ya Qur’an Dar es Salaam
102.50  Choice FM Dar es Salaam
103.30  Classic FM Dar es Salaam
103.70  Radio Maria Dar es Salaam
104.10  Radio Kheri Kisarawe
104.50  Radio Imaan Dar es Salaam
105.30 Morning Star Radio Dar es Salaam
105.70  Radio Tumaini St. Joseph’s Cathedral
106.50  Mlimani Radio Kijitonyama, University of Dar es Salaam
107.70   Upendo FM Radio Kisarawe
 
MW,kHz Station / Kituo cha redio Transmitter / Transmita
    585  STZ Sauti ya Tanzania Zanzibar Zanzibar
    603 TBC Redio ya Taifa Dodoma
    657   TBC Redio ya Taifa Kunduchi
  1440  Radio One Kunduchi
 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s