BURIANA ANNA SENKORO – MWANAMKE WA KWANZA KUGOMBEA URAIS TANZANIA

anna-senkoro

Marehemu Anna Senkoro enzi za uhai wake

Aliyekuwa mgombea urais wa kike wa kwanza Tanzania (Uchaguzi 2005) kupitia chama cha APPT-Maendeleo, Dr. Anna Claudia Senkoro ameaga dunia.

Inadaiwa aliugua ghafla usiku wa kuamkia leo na amefariki baada ya kukimbizwa hospitali asubuhi ya leo.

Msiba upo nyumbani kwake, Tabata Segerea jijini Dar.

Taarifa zaidi zitafuatia…

Matokeo ya Urais 2005)

Jakaya Kikwete (CCM)
9,123,952
80.28%

Ibrahim Lipumba (CUF)
1,327,125
11.68%

Freeman Mbowe (CHADEMA)
668,756
5.88%

Augustine Mrema (TLP)
84,901
0.75%

Sengondo Mvungi (NCCR-Mageuzi)
55,819
0.49%

Christopher Mtikila (DP)
31,083
0.27%

Emmanuel Makaidi (NLD)
21,574
0.19%

Anna Senkoro (PPT-Maendeleo)
18,783
0.17%

Leonard Shayo (MAKINI)
17,070
0.15%

Paul Kyara (SAU)
16,414
0.14%

CREDITS : Jamii Forums

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s