SIRI ZA MAFANIKIO ZA WEMA SEPETU

wema-sepetu

WEMA SEPETU

Malkia wa Tanzania kwa upande wa tasnia ya burudani, hapa namzunguzia, Wema Abraham Sepetu, amerudi tena kwenye maisha yake kama ya awali ya kutumia milioni 5 kwa siku.

Licha ya hali ya wananchi na mastaa  wenzake kulalamika maisha magumu, kwa upande wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, imekuwa tofauti baada ya kurudi kwenye ‘Form’ yake ya zamani.

Mafanikio hayo yametokana na visomo pamoja na dua ambazo amekuwa akifanyiwa na Ostadh Shariff Manungu anayesifika kwa kuwa na uwezo mkubwa sana wa kusoma dua na kupokelewa.

Ili kuweka sawa mizani, mtandao ulizungumza na rafiki wa karibu wa nyota huyo na kutueleza haya, “niwambie, Wema sasa hivi sio kama wa zamani, mambo yake yamezidi kumnyookea, amekuwa akiitwa kwenye event(matamasha) makubwa, kama hivi karibuni alikuwa Kenya kwenye uzinduzi wa klabu kubwa ya XS Millionaires”.

Ostadh Shariff Nguvumali anapatikana kwa namba : 0655 46 04 56

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s