LULU, IDRIS WAZUA TAFRANI

lulu-idris

Nyota ya muigizaji Elizaberth Michael ‘Lulu’  imeonekana kuendelea kung’ara baada ya kutajwa na aliyekuwa mshindi wa shindano la Big Brother Africa{BBA}, Idris Sultan kuwa ndiye staa wa kike wa kibongo anayevutiwa kuzaa naye.

Lulu kwa sasa yuko mapenzini na bosi wa kituo kimoja cha redio na runinga nchini, ameelezewa na Idris kuwa ndiye staa wa kike wa kibongo aliyetulia na mwenye sifa kuwa mke wa mtu, ”ametulia sana kwa sasa, anafaa kuwa mke”.

Lulu kwa sasa ambaye ametajwa kuwa kwenye maisha ya kifahari huku akimiliki mali kadhaa zenye thamani ya juu, ikichangiwa na kile kinachosemekatna kuwa ni baada ya kusomewa dua maalum na Ostadh Nurdini. 0655 79 33 35

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s