JINSI YA KUMFUNGA MUME/ MKE ASICHEPUKE

mahusiano

Ndoa nyingi zimekuwa zenye hali ya mashaka kutokana na kupungua wa uaminifu baina ya wana ndoa husika, kiasi kwamba kila mmoja amekuwa mwenye mashaka na mwenzake na hatimaye ndoa kuvunjika

Leo nitazungumza nanyi  juu ya namna rahisi kabisa ya kuhakikisha kuwa, mumeo au mkeo atalazimika(hata kama sio hiari yake) kuwa mwaminifu kwenye ndoa yenu kwa kubaki nawe tu hadi utakapoamua iwe vinginevyo.

Njia nitakayoieleza hapa ni ya kufunga kile kitendea kazi(kwa mchepuko) cha mume  au mke anapokutana na mchepuko chumbani ili wafanye yale mambo yetu ambapo hivyo vitendea kazi huonekana vimepotea au havina uwezo.

Lakini sharti kubwa la njii hii ya kudhibiti michepuko ni mfanyaji(mnuiaji) lazima afanye kwa mkewe au mumewe wa ndoa kabisa, vinginevyo inaweza kumuathiri mwenyewe endapo ataifanya kwa hawara(Boyfriend/ girlfriend).

Ikiwa unampenda sana mwenzi wako, basi ni vema ukamshawishi muoane kwanza kisha ndio ufanye hii njia ya kumdhibiti ili awe wako wa peke yako katika maisha yenu ya ndoa.

Mahitaji yake

Ili kuiweka kwenye mikono salama ndoa yako kwa njia hii, unatakiwa kuwa na vifaa kadhaa kwa ajili ya utekelezaji  wa kinga hiyo ya uhakika kwa michepuko ya mwenzi wako.

  • Udi nadi
  • Ubani mashtaka
  • Uume wa mbwa mweusi asiye na jeraha
  • Kiberiti kipya
  • Karatasi nyeupe
  • Zafarani nyekundu
  • Mnamata (mmea kama miba miba, ukiupitia unakamata kwenye nguo)

 Namna ya kufanya

 Twanga vizuri udi nadi na ubani mashtaka hadi view vya unga au poda, kasha vichanganye vyote na mnamata na hakikisha hadi vinakuwa kama kitu kimoja.

Chukua karatasi nyeupe na uandike jina la mkeo au mumeo na jina la mama yake mzazi kwa kutumia zafarani nyekundu, kisha weka ule mchanganyiko wako wa udi, ubani na mnamata hapo kwenye karatasi ukichanganya na hiyo ‘dushelele’ ya mbwa.

Choma karatasi jiyo kwa kuiwasha na kiberiti kipya, wakati karatasi inaungua tulia huku  unaitazama na kuvuta taswira kama unamuona mwenzi wako na huku unatia nia yatokee yanayokusudiwa kama atachepuka na  mtu mwingine.

Baada ya hapo zoa majivu na uyafunge kwenye kitambaa cheusi kisha ukayatupe  kwenye maji yanayotembea(ya mfereji au mto).

Ukitaka kuachana naye, ni vema kumuacha huru kw akufanya kama wakti wa kumfunga, kasoro hutatumia tena ‘dushelele’  ya mbwa kisha jivu lake utajigusisha kwenye nyeti zako kabla ya kukutana naye kimwili na atakuwa huru.

Kwa masharti ya njia hii, ni lazima kumuacha huru, ikiwa huhitaji kuwa naye tena, kwani inaweza kukuathiri mwenyewe usipate mwenzi mpya.

Kwa wale watakaohitaji Maelekezo au kusaidiwa jinsi ya kufanya wapige : 0665 79 33 35

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s